#phayndinda Archive

Rafiki ya Mama

Nayafungua macho yangu na kukutana na giza. Kiza kingi mno. Najaribu kuyafikicha macho yangu Lakini nagundua kuwa nimefungwa. Lo! Itakuwaje?Macho yangu yanazoea kile kiza kwani bado Mna mwanga unaoingia …