Bookmark 0 FacebookTwitterPinterestEmail Swahili Stories Rafiki ya Mama 0 (0) by Faith Ndinda October 19, 2022 October 19, 2022 0 comment Nayafungua macho yangu na kukutana na giza. Kiza kingi mno. Najaribu kuyafikicha macho yangu Lakini nagundua kuwa nimefungwa. Lo! Itakuwaje?Macho yangu yanazoea kile kiza kwani bado Mna mwanga unaoingia mle…